Finally Official Windows 10 upgrade is here

Shida yangu ni kwamba ktk lumia 620 ambayo ina ram ya mb512 itakubali? Coz nimeweka hiyo insider tyr na ktk simu upande wa update iko hvyo kama picha inavyoonesha hapo chini.....,
 
ukaaji chaji?
kiukweli ukaaji chaji naona umeongezeka maana mwanzo nilikuwa natumia update ya mwisho kabisa ya Lumia Denim simu ilikuwa nikitoka kuichaji inaonyesha imejaa 100% lakini baada ya dakika kama 10 inapungua na kusoma 99% (wakati haipo connected) wakati sikuitumia, lakini sasa ikijaa naweza poteza hata masaa mawili(kama haipo connected)
 
Shida yangu ni kwamba ktk lumia 620 ambayo ina ram ya mb512 itakubali? Coz nimeweka hiyo insider tyr na ktk simu upande wa update iko hvyo kama picha inavyoonesha hapo chini.....,View attachment 332152
Ndiyo itakubali, utapata build no.10.0.10586.107 kisha fungua tena app ya insider chagua PRODUCT (hapo utakuwa umejitoa) nenda tena settings then Update and Security kisha Phone Update utapata official update
 
Baada ya hapo naweza toa insider ktk simu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…