Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Revenge is for the weakWell said miss! Kwanza hayo mambo ya revenge ni ya kizamani, wenzake tumefanya kitaaambo tukiwa sekondari
Ok, kila la kheriowky,i wil think abt it uzuri ntaleta mrejesho ata baada ya mwaka bt i will
Habari wakuu
Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)
I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi
I just wanted to write something and here i dd
jion njema
hahaha i will be a fool kama ntafanya ivoUtakaposhangazwa ni pale unapommwagia ukweli kuwa wewe na yeye basi halafu anakwambia ooh hivi tulikuwa lovers mie nilijua mie na wewe ni kaka na dada.... ndo utakapojikuta umejipiga mtama mwenyewe kama si ngwala. .....
Get prepared.
mimi siku ya kiama ntachomwa moto kwa revenge ,ukinizingua lazima nikuzingua vibayaRevenge is for the weak
Matukio ya kwenye movie za kikolea😀hahaha sometimes u do old times for the sake of the new
Sio about kuchomwa moto hata, utajilaumu siku utakapogundua katika kuumiza wengine, umejiumiza wewe mwenyewe zaidimimi siku ya kiama ntachomwa moto kwa revenge ,ukinizingua lazima nikuzingua vibaya
Absolutely..Revenge is for the weak
hahaha i will be a fool kama ntafanya ivo
may be i should think that way now,,,let see
potelea mbaliSio about kuchomwa moto hata, utajilaumu siku utakapogundua katika kuumiza wengine, umejiumiza wewe mwenyewe zaidi
Thanks much, Unamuignore tu. Tatizo uchungu unakaa moyoni na sio akilini, utakutafunajeeMkuu love really hurts, mimi sijawahi revenge kwa style hio but atleast huwa nina approach tofauti. I prefer to ignore for good ili niwe huru nayeye awe huru but somewhere mbeleni huko najua kuna ile feeling of loss lazma itamsokota tu!
I would be better off, than holding in the relationship for the sake of revenge maana its automatically not in me.
I suppose you give it a shot. Hope its way much better than what you are currently thinking.
Acha kisasi, haifai.nataka nimuache kipindi ambacho atakua yuko kwenye peak yakunipenda,,,by doin that ntakua nimempa funzo kwamba nxt time akisema anampenda mtu maanishe
Yeah unajua ni rahisi sana kama ulipenda sana, unaweza kuacha kupenda katika rate ile ile ila watu hawajui tu!Thanks much, Unamuignore tu. Tatizo uchungu unakaa moyoni na sio akilini, utakutafunajee