Finally nimejua ya moyoni

Finally nimejua ya moyoni

Joanah troublemaker na wengine.

Kwa majibu komedi kuna kijana alijinyonga.

Huyu mtu hayupo sawa tujitahidi kujibu huku tukikumbuka tukio lililopita na situation aliyopo mleta uzi.

Kasema anahitaji counseling. Kasema ANAHITAJI counseling.
Kisa mwanaume nijinyongee woi ,eti sijielewi hebu kuwa mtu mzima wajaribu nini huelewi huelewi basi period .
Kuzoena kiaina sio fresh hapa sina shida nikusalitiwa tu na kwa maisha ya sasa at first inauma ila kwangu mimi hainiumi tumeshapeana taratibu na sio lazima uzijue sisi kama sisi.

Wewe utapuuzia kutoa ushauri wenzako watanipa ushauri tosha kwanza nimeshapewa ushauri wakutosha nanimeshauchukulia hatua .
Mwenzio ni meshasahau kama nilisalitiwa usiku wakuamkia jana saivi niko nakula mziki kwa raha zangu.
 
katoto kazuri, nitalifanyia kazi tatizo lako ila punguza jazba
 
Kuandika sijaelewa uzi ni comment ya kumfanya mtu ajinyonge?

Labda kama umenitag kwa bahati mbaya
Hivi ni jiyonge kisa wewe nitachekwa na watu kweli tena kwa sauti kubwa hakuna kitu chini ya jua ambacho .
Kwanza kitaniliza
Nitakiwazia
Nitaumiza kichwa changu.
Isitoshe members wa Humu.
Hamuonekani na mtambuliki nijiumize kisa nini nimekosa labda?
 
JF bhana... mwenzenu ana matatizo nyie mnamletea masihara... ila utani wakati mwingine unafariji...
 
Uliwahi kuishi kisumu Kenya nini?

Maana hicho kiswahili na uzi wako duuuh!
Japo nimeelewa kigumu hivo hivo lakini unatisha kwenye mwandiko..
 
Vumiliya tu Mama hakuna namna pia mmeo we mwelewe tu kwasababu sisi wanaume iyo ndo kariba yetu nikiwa na maana ata ungelikua mzuri vipi lazima tuonje na nje ( japo sio kwa wote) Ila wengi wetu tuko ivyo. We tulia nae leeni watoto kama wapo maisha yaendelee

Kwa maana ata akikalishwa na wanandugu bado hawezi kukaa sawa nature ile ya uanaume itamuandama zaidi atafanya japo kwa usiri mkubwa na kuongeza umakini.
 
Heri yangu mimi nilieokoka!Kwa Yesu hakuna amsha amsha za kijinga kama hizi
 
Back
Top Bottom