Finally nimejua ya moyoni

Finally nimejua ya moyoni

Joanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
😂😂😂 nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.
Enhee twende kazi, Joanah kafanyaje?
 
Daaah....[emoji56][emoji56]
Mleta mada ana matege pande zote.

Mwisho wa siku hata haeleweki anazungumzia nini.
Hivi kisanga kama hicho unategemea uandishi uwe mwanahabari? Tumtie moyo
 
Nilivyo fika Kwenye neno hili "last tense last weekend" libidi nitumie nguvu nyingi Sana kuelewa adi nahis usingzi...ngoja nkalale
 
Kama unaweza kumuacha muache Kama huwezi usijaribu,Jambo lafamilia kuingilia kati haimaanishi ndo kutatua tatizo! Vitu vyengine ni vyema kuvirukia kwa mbele ujue kabisa kuwa hivi nikiweka zege au gogo haya maji yatapita au hayatapita je,yakipita itakuwaje..??

Ila hio lugha dada inaonyesha bado mgeni kwenye hii lugha yetu!.. ndio maana wengine kukuelewa tabu.
 
Katoto kazuri mi ntajitolea kukufundisha lugha ya kiswahili.. Maana this is too much



Ila pole sana
 
Joanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
😂😂😂 nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.
Mwambie asiwe mjionga huyop mumoe, tutamuita kwenye kikao cha nidhamu cha wanaume wenye ndoa

1592219607224.png
 
Kama unaweza kumuacha muache Kama huwezi usijaribu,Jambo lafamilia kuingilia kati haimaanishi ndo kutatua tatizo! Vitu vyengine ni vyema kuvirukia kwa mbele ujue kabisa kuwa hivi nikiweka zege au gogo haya maji yatapita au hayatapita je,yakipita itakuwaje..??

Ila hio lugha dada inaonyesha bado mgeni kwenye hii lugha yetu!.. ndio maana wengine kukuelewa tabu.
Sawa ila mie nimeona kusafiri inshu watoto naacha kwa mama sio vidogo vitamudu tu kwa one or two weeks.
Isingekua ni hii hali ningeenda navyo ni roho yangu.
 
kuna watu wanajua kuandika visivyoeleweka ila vinavutia.
 
Joanah troublemaker na wengine.

Kwa majibu komedi kuna kijana alijinyonga.

Huyu mtu hayupo sawa tujitahidi kujibu huku tukikumbuka tukio lililopita na situation aliyopo mleta uzi.

Kasema anahitaji counseling. Kasema ANAHITAJI counseling.
 
Kwa mara ya kwanza leo japo si vyema sana ila umejitahidi katika uandishi hongera.
 
Joanah troublemaker na wengine.

Kwa majibu komedi kuna kijana alijinyonga.

Huyu mtu hayupo sawa tujitahidi kujibu huku tukikumbuka tukio lililopita na situation aliyopo mleta uzi.

Kasema anahitaji counseling. Kasema ANAHITAJI counseling.


Kuandika sijaelewa uzi ni comment ya kumfanya mtu ajinyonge?

Labda kama umenitag kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom