hahahahah!mpwa unaharibu sredi yetu mama....!
halafu kumbuka kwambaaa eeeeeeeh 11-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!
Ipi hiyo my dear?!In real life mara nyingi ukiamua kujibibisha inawezekana na ukiamua kujibintisha pia inawezekana.wewe tu..
Teamo vipi tena baba!?@asprin anakukumbusha nini?!?Siku hizi amekuwa bazazi..
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......
lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga
2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!
wakuu,
hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!
ndio nimegeuza miaka 19 juzi juzi......nahitaji hii ujue......
CC: Teamo, Carina TI, Bigirita, GY, Asprin, Kaizer, @R R, KimeySiyo mimi bali ni Kaizer
Kama umeoa/umeolewa......
Halafu Una hobby na ''mipango ya kando''......
TAFADHALI NAOMBA TUSIWE NA TABIA YA KUWEKA JEALOUSY DHIDI YA MIPANGO YA KANDO....!Haiingii akilini mwa mtu kwamba unatengeneza ''JEALOUSY'' ya level ya juu kabisa kwenye mipango ya kando ilhali unajua kuwa:
-MPANGO WAKO WA KANDO NI MKE/MUME WA MTU
-SIO KWELI KWAMBA ON A SERIOUS SCENARIO MTU UNAWEZA MPENDA MKE/MUME WA MTU IL HALI UNA MUME/MKE UMEMWACHA NYUMBANI!
mi nadhani hii mipango ya kando (kwa wenye hobby na nguvu za kumudu) tuwe tunashea ''kwa amani'' bila wivu....!kwamba leo wewe kesho na mimi pia BILA WIVU!na ukiniona we potezea tu maisha yaendelee au vipi?
habari ndo hiyo.....!kudadadadek
narudi kwa
-mkoloni wa amani
-mkoloni Ti
-mkoloni pikap
-mkoloni RaV4
-mkoloni stalet
-mkoloni gx100
-mkoloni eskudo
-wivu premio
Best utamkuza best yangu bure...
Hebu tutake radhi..Kwa hiyo wanawake wa jf ni mipashkuna,mijimama?!??really?! na sample yako ni sisi tuliokuwa white party?!Naona kama umekosea sehemu ya kufungukia, ungekuja kwenye
White party ndio ungejua umekosea njia..
hapa jf kuna mijimama, mipashkuna, suburi uongeze umri kidogo
heh!.....kwan we dhaman ulikuwa unatumia aiidii gani?Hahahah mpwa kumbe nawe umeiona ...hii Avatar ni kama vile ilikuwa imevundikwa mahali na sasa imekwivaaa kama embe bolibo
Inauma sana mtu anatafuta mwanamke wakati wewe anakuona..lolhongera Mungu akupe kile alichoomba toka kwake kila la kheri, ila sijafurahishwa kunimention hapo, sijui kwanini umefanya hivyo lakiini yote ni kheri ondoa shaka kwa hilo
ubarikiwe
Hahahahahahaa...............Generation Y pambafu zake...!!ahahahahah!ascending or descending order?........i mean GY yupo kweli?
weeeeuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........!unatakaaaaaaa niniiiiiiiiiii?
Hawa ndo wale walikuwa wanakuja kukaa kaunta pale kwa mzee wa Unataka nyonyo...wanatuangalia wanaogopa wanatambaa zao.heh!.....kwan we dhaman ulikuwa unatumia aiidii gani?
preta amesema anaCUM now now.............!hehehehehHahahahahahaa...............Generation Y pambafu zake...!!
Dereva Taxi siku hizi ni mzee wa kurudi mwenyewe kimya kimya.
Mzee ya wivu mwingi naona ameanza kijiachia taratiiibuuu!!!!
Unatakaaaaaaa............Aseeeeee siku hizi Eliza yupo Uwanjani kwenye mdudu choma.
Umemsikia Preta? amesema anataka nini tena???.....hebu fanyeni miundo mbinu jamani.
Kwa kweli huyu mdogo wangu ni Premium quality. nimekutana na wachache sana kama yeye. I mean every word I wrote and we have discussed often about the type of women he likes. Kilicho ni-surprise zaidi ni kua he is not very restrictive in his criteria kama vijana wengine wa umri wake. He wants to be surprised too, of course. Ni zile criteria za kawaida tu. Did I mention he was generous? the type that believes there is more pleasure in giving than receiving.