jamaa anazali na vitunguu balaa..
Baada ya kuzaa jumla ya watoto 10 katika kipindi cha miaka 12, Rachael Savory hatimaye alivaa shela na kufunga ndoa na bwana Jay Wong huku watoto wao 10 wakiwa ndio wapambe baada ya harusi yao kuahirishwa mara kwa mara kwa miaka kadhaa.
Kuna watu wana nyota za viazi mviringo...
Mecheka sana daddy.... Sio ya matikitaji??