Cjapima,naogopa sana...
Nakuambia usiogope,ukute Mungu alimpa malipo yake huyo mumeo kwa matendo yakee,,,wengi mbona hua wanaenda kupima lakin si wote wanakua wameathirika,,
Ukipima nakuambia utakua unajiaminii utasonga mbele roho wa hofu atapoteaaa
Usiache kunipa mrejesho ukishapima
Haya my dear...ntajitahidi niende..yaani asante sana...maana ananitisha sana...am so down Dina..you can imagine am so good at encouraging watu but For this nimegonga mwamba...i will give you mrejesho
Haya my dear...ntajitahidi niende..yaani asante sana...maana ananitisha sana...am so down Dina..you can imagine am so good at encouraging watu but For this nimegonga mwamba...i will give you mrejesho
Nenda kapime,itakua hakupenda baada ya wewe kumuacha kwa hiyo akaamua kukutisha,usiogope.
Hongeta sana...mwenzio nnaogopa maana yule mwanaume malaya nlivuoamua kumove on aliniambia ashanasa so Na mi nkachek..toka hapo nimeloose confidence..yaani hata nikiumwa Kichwa mawzo debe...!nawaza na kumtafakari Mungu japo nlitenda dhambi,cpati magbu...hivi kweli anaweza kuwa aliruhusu?nnaumia sanaa coz nlijitunza sana na cna list ya wanaume maishani mwangu
Kapime mwaya.... sio linanii hilo?
Ukute limekutisha tu likuvuruge. Hao wa type hiyo ndio wasambazaji picha za wanawake mitandaoni.
Asante sana my dear...will do that...leo kantext this morning ananiambia nakutakia sikukuu yetu njemawas about to die nlivyorealize kuwa leo ni AIDS day
Dah , huyo anamtesa dada wa watu kifikra ile mbaya..! La Princesa, huyo anakutisha na hana lolote, nenda kapime na nakuhakikishia huna tatizo, anakuumiza tu kisa labda umemuacha na moyo wake unaumia..! Dinazarde wewe umepima lini?Umezaa nae??kama vipi mblock
Umebahatika bc jitunze, kwani goli halipo mbali......Nilienda tena baada ya miez 3,nikapima nikasubiria majb: nikaashum sina si ndo nimepima mara 2sina kipimo cha mara ya 3 sikuwa na pressure ya hayo majibu yao
Kweli kabisaaa usemavyo
Huyo anamtisha tu,kuna watu wengine huwa hawataki kukubali matokeo,jamaa hataki kuamini ameachwa kwa hiyo anaamua kumtesa binti kifikra kwa kumtisha na kumuogopesha.
Cha msingi binti aende kupima aujue ukweli ili awe huru,always the truth sets people free.
Dah , huyo anamtesa dada wa watu kifikra ile mbaya..! La Princesa, huyo anakutisha na hana lolote, nenda kapime na nakuhakikishia huna tatizo, anakuumiza tu kisa labda umemuacha na moyo wake unaumia..! Dinazarde wewe umepima lini?
Baada ya mwezi mmoja,ila mimi sasa ntafanya kila wiki naenda kupima.
ukiniona tu utasema nimefanana na ukimwi
In red: Ndio mkuu ila sio wa kuoana,ni dates tu akataka nikapime kwanza,kwa kua nilikua sijawahi kupima ikanibidi nije kuomba ushauri humu kwa wadau wakanipa makonfidensi
Kapime acha uoga mkuu.
Nilipima mwezi wa 8 mwaka huu