Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Tulizana! Umeambiwa lini urudi tena kupima?
Kama mtakumbuka
juzi juzi hapa niliandika hapa kua natakiwa nikapime ukimwi,nimejaribu
kukwepa sana hilo jambo ila hatimae nimelazimika leo asubui hii kwenda
kupima.
Kweli kupima ukimwi yahitaji moyo,asubui hii nimejipa ujasiri wa
kutosha,baada ya kuamka nikaelekea hospitali. Nikiwa nasubiri majibu
nimewaza mambo mengi sana kuhusu hatima yangu(je ikitokea ninao
ntafanyaje,je ntaoa,je ntapata mtoto, familia yangu
watanichukuliaje,wanajamii,nk),nimericall njia zangu za nyuma na jinsi
nilivyokua nacheza peku kwenye uwanja wa changarawe kidogo nikimbie
majibu.
Thanks majibu yametoka poa,Wajamaa nawashauri mkapime. hapa nilipo
najisikia mwepesi sana kama vile nimetua mzigo mzito sana na najisikia
nina amani sana moyoni.
cc. Preta
maskin kama nakuona umesubiri majib unaangaika mara mkojo mara kuharisha ahaaaa
Kama mtakumbuka juzi juzi hapa niliandika hapa kua natakiwa nikapime ukimwi,nimejaribu kukwepa sana hilo jambo ila hatimae nimelazimika leo asubui hii kwenda kupima.
Kweli kupima ukimwi yahitaji moyo,asubui hii nimejipa ujasiri wa kutosha,baada ya kuamka nikaelekea hospitali. Nikiwa nasubiri majibu nimewaza mambo mengi sana kuhusu hatima yangu(je ikitokea ninao ntafanyaje,je ntaoa,je ntapata mtoto, familia yangu watanichukuliaje,wanajamii,nk),nimericall njia zangu za nyuma na jinsi nilivyokua nacheza peku kwenye uwanja wa changarawe kidogo nikimbie majibu.
Thanks majibu yametoka poa,Wajamaa nawashauri mkapime. hapa nilipo najisikia mwepesi sana kama vile nimetua mzigo mzito sana na najisikia nina amani sana moyoni.
cc. Preta
Hongera sana mkuu......tena juzi kati hapa nilikua nikutafute nikuulize.....vipiii........maswala ya escrow yakawa yamenibana........
sasa basi tulia.......siku ya kesho tar 01 Dec utakuwa umeiadhimisha kifua mbele............
NA WENGINE WOTE........KESHO TWENDENI TUKAPIME........UKIMWI UPO NA UNAUA.........
Wanaume vifua mbele wanawake matiti mbele
ila mimi no
Hongera sana mkuu......tena juzi kati hapa nilikua nikutafute nikuulize.....vipiii........maswala ya escrow yakawa yamenibana........
sasa basi tulia.......siku ya kesho tar 01 Dec utakuwa umeiadhimisha kifua mbele............
NA WENGINE WOTE........KESHO TWENDENI TUKAPIME........UKIMWI UPO NA UNAUA.........
Kapime bana........najua huna........ukimwi una watu wake ujue...........
Samahani Wanduguuu,Kama mtakumbuka juzi juzi hapa niliandika hapa kua natakiwa nikapime ukimwi,nimejaribu kukwepa sana hilo jambo ila hatimae nimelazimika leo asubui hii kwenda kupima.
Kweli kupima ukimwi yahitaji moyo,asubui hii nimejipa ujasiri wa kutosha,baada ya kuamka nikaelekea hospitali. Nikiwa nasubiri majibu nimewaza mambo mengi sana kuhusu hatima yangu(je ikitokea ninao ntafanyaje,je ntaoa,je ntapata mtoto, familia yangu watanichukuliaje,wanajamii,nk),nimericall njia zangu za nyuma na jinsi nilivyokua nacheza peku kwenye uwanja wa changarawe kidogo nikimbie majibu.
Thanks majibu yametoka poa,Wajamaa nawashauri mkapime. hapa nilipo najisikia mwepesi sana kama vile nimetua mzigo mzito sana na najisikia nina amani sana moyoni.
cc. Preta
ukiniona tu utasema nimefanana na ukimwi
Ha ha ha........umeniacha hali jo jo........
kama unataka kunitunuku nipe tu
nilikuwa natania
Mweeee........haya bana.......