Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Vianzo vyangu vya habari vinanipa hii kutoka jijini Nairobi. Huyu bwana
aliyekua ameteuliwa na Kibaki kua mkuu wa Kenya Anti-Corruption Commision
amejiuzulu.
Hii ni baada ya Bunge la Kenya kumtoa nishai Rais Kibaki maana alikiuka kanuni
zilizopangwa na katiba kuhusu uteuzi wa mkuu wa hii tume. Jamaa amekua
hapo zaidi ya miaka mitano akipokea hela kibao na hamna la maana
limefanyika. Mawazo ya wengi ni kua alikua amewekwa hapo hususan
kuzuia kesi zozote za ufisadi dhidi ya familia kuu za Kenya ikiwemo ya
Kenyatta, Moi na sasa Kibaki.
Cha muhimu ni kutizama ni nani atakayeteuliwa kuchukua hii ofisi.
Zaidi mtapokea kadri zinapofika.
Maelezo mengine kuhusu hii kandarasi yalijadiliwa awali katika
hii nyuzi... HAPA