Final Nigeria vs Egypt

Final Nigeria vs Egypt

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,871
All d best

Mpira ukichezwa kwa haki

Hizi ndizo timu za final

Hope tumeyao itakuwa uwanjan kushuhudia maana fujo zitakuwepo za kutosheleza
 
la muhimu.
Amani
Amani
Amani

mpira uchezwee
 
moroco wamelalamika kwa nn refa ajarangazwa mpaka sasa sasa sijui wanataka nn mbwau hawa aisee hii michuano ya kihunihuni
 
Kocha wa Tanzania alisema kuwa Morocco wanabebwa sana ikabidi Karia awe tofauti na kocha wake ili kulinda kibarua chake CAF na si kwa maslahi ya Taifa leo hii Morocco wanabebwa tunalia tena yule kocha atakua alishangaa sana kwa maamuzi yale ila kwa kilichotokea atakua kafurahi..
 
Kabla ya yote kwanza hii game ya Nigeria na Morocco nyazi nadhani zitawaka moto hapo kesho.
 
Sawaa, ila nimegundua wengi wenu hamuwapendi waarabu, ila uzuri wanazidi kupasua mwamba nyie mtabaki na huzuni. Acheni chuki
Labda wewe utajifanya kuwapenda kwa sababu unaamini kwamba wao ndio wamekufanya ukamjua Mungu.

Tatizo lako katika hilo ni kuwa mwafrika, usingekuwa mwafrika ungejitambua na kuhifadhi utamaduni wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom