Ligi yao, timu zao, soka lao limekuwa ukiangalia game zao huwa zimechangamka, na PIRA BIRIANI linapigwa.Game Ina nguvu ni world class kabisa
Sana na miundombinu ya viwanja ni mizuri sana Benz boy kapiga goli Moja matata mnoLigi yao, timu zao, soka lao limekuwa ukiangalia game zao huwa zimechangamka, na PIRA BIRIANI linapigwa.