Final: Dr. Slaa is back!

Final: Dr. Slaa is back!

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Katibu mkuu wa cdm Dr.Wilbrord Slaa amerudi rasmi nyumbani kwao karatu kusalimia familia, ndugu na jamaa.
 
Ameenda kutangazia watanzania msimamo wake na kuweka wazi madudu ya Chadema yanayopikwa na Mbowe....Kaeni tayari..makorokocho ya mbowe yanawekwa bayana
 
Dah......haya Kamanda, utapata wasomaji wengi sana kwenye post yako.
 
Karibu nyumbani baba. Yaliyokupata yanatosha. Wamekudhalilisha,wamekudharau,;kwa ujumla umepondeka na kuzimia roho. Kweli pesa hupovusha macho na kuondoa uwezo Wa kufikiri.
 
Huu ni upuuzi, one condom would have prevented such a simpleton
 
Back
Top Bottom