Final CRDB cup huenda ikawa Tanga

Final CRDB cup huenda ikawa Tanga

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,498
Reaction score
27,280
Hii ni kutokana na matengenezo makubwa ya uwanja wa Mkapa na ule wa amaan Kila baada ya mechi wanaufunga kwa matengenezo (wanatunza kama wazee wa kichaga na pick up ya Datsun)
So final ni Tanga
 
Dah c tumekubaliana uwanja wa mkapa umekamilika 😂
Hakuna nchi rahisi kuiongoza kama Tanzania, hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi Tz
Ile barua ya caf ni kama inasema "mkizingua na chan haichezwi hapo"so wataamua kuwa serious hamna kilichokamilika
 
Hii ni kutokana na matengenezo makubwa ya uwanja wa Mkapa na ule wa amaan Kila baada ya mechi wanaufunga kwa matengenezo (wanatunza kama wazee wa kichaga na pick up ya Datsun)
So final ni Tanga
Kwenye huo huo uwanja mbovu lakini yanga watakuwa wameshapata uzoefu wa kucheza kwenye uwanja mbovu wenye kuruhusu maji ya mvua kutuwama
 
Nje ya huo ni chamazi ambao Hauna uwezo wa ku host derby
 
Pitch ya Mkwakwani ni mbaya kabisa boli halitembei na hasa mvua ikinyesha mipira inakwama ovyo , hivi mbona tff hawana akili? What is wrong with tff?

fainali CRDB ni mechi kubwa mno wana uto tunaomba mechi ichezwe mkapa tu au hata Kmc au Majaliwa au hata Kagera kwenye nyasi bandia, uto tunataka pitch Bora fainali ipendeze , pitch lazima iwe nzuri tuwaoneshe mpira makolo boli litembee Pacome azungushe boli kwa asilimia 100, CRDB wasikubali pitch mbovu fainali hela zao ni nyingi wametoa kuwapa wahuni wa tff
 
Dah c tumekubaliana uwanja wa mkapa umekamilika 😂
Hakuna nchi rahisi kuiongoza kama Tanzania, hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi Tz
Watanzania wengi ni wajinga sana mpl nawaonea HURUMA ,ila kwa kujifanya wajuaji sasa tena huku kwenye MPIRA NDIO WAJINGA WAMEJAA
 
Pitch ya Mkwakwani ni mbaya kabisa boli halitembei na hasa mvua ikinyesha mipira inakwama ovyo , hivi mbona tff hawana akili? What is wrong with tff?

fainali CRDB ni mechi kubwa mno wana uto tunaomba mechi ichezwe mkapa tu au hata Kmc au Majaliwa au hata Kagera kwenye nyasi bandia, uto tunataka pitch Bora fainali ipendeze , pitch lazima iwe nzuri tuwaoneshe mpira makolo boli litembee Pacome azungushe boli kwa asilimia 100, CRDB wasikubali pitch mbovu fainali hela zao ni nyingi wametoa kuwapa wahuni wa tff
Ule uwanja ni mchafu na mbovu kupitiliza kwenye eneo la kuchezea. Na ushahidi ulionekana wazi kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Yanga na JKT.

Kwa hiyo ni vizuri ukafungwa kutumika hata kama kuna mashinikizo ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom