Fimbo aitumiayo Spika ina maana gani?

Fimbo aitumiayo Spika ina maana gani?

Leo mtajenga hoja kwa kila jambo! Baadae mtahoji kwanini "mmeshiba usiku" huu?!!
 
ni silaha in case kuna nyoka atatokea kutaka KUMDHURU MH, JAMAA ANAGONGA NA ILO RUNGU, HALINA MAANA INGINE NI RUNGU TU LA MBAO.. AU SILAHAYA YA JADI...
Wakuu kuna ule mkongojo unaobebwa kwa ulinzi mkali na Spika akiwa nyuma yake una maana gani? Na je bila siwa kikao cha Bunge hakiwezi kuendelea?
4356318.jpg
 
Wajinga ndio waliwao. Tabia ya kuiga mambo ya kijinga, kwenye bunge la UK spika wao hutumia mkongojo huo kugonga mlango kuashiria kwamba malkia anaingia bungeni hivyo wabunge (subjects) wakae kimya maana malkia anaingia au pengine one day Charles akiukwaa mfalme anaingia wakati wa kufungua vikao vya bunge na wote lazima wasimame sio wakae chini kama sikosei tena huwa wanaitwa kwenye chamber nyingine. yaani ni ujinga mtupu, sasa waswahili na u-loafer wao wakaona nalo hilo ni tija.

Hahahaaaaaa!!! Ngoja nikachukue bia kwenye fridge..!!
 
matumizi ya ile siwa bungeni si ujinga,ni tendo la heshima ya pekee bungeni.
wewe mzima kweli?????? heshima hailetwi na fimbo bali busara na hekima, hiyo fimbo wameiga kwa Waingereza na ni ushenzi kwetu haina lolote.
 
Back
Top Bottom