Films nzuri ya kingerenza ambayo haichoshi

Films nzuri ya kingerenza ambayo haichoshi

Single mov au au mambo ya epissod?
 
Angalia documentary ya Diana our mother-Her Life and Legacy.
 
Dead poet society. (Education)
Saving Private Ryan. (Brotherhood)
Any Given Sunday. (Inspirational)
Men of Honor. (Determination)

Clip for Any Given Sunday, check it out


Men of Honor
 
Habari wadau naomba mnisaidie films nzuri ya kingeleza jina la hiyo film niitafute

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naikubali [HASHTAG]#1Mission[/HASHTAG] Imposible ya 1 hadi ya mwisho yani nina uwezo wakurudia hata mara zote yani nainjoy tu nikicheki movie za Tom Cruise,
#2.Jason bourne ya kwanza hadi mwisho yani hadi raha unarudia movie hata mara ngapi Matt Damon anajua,
#3.Italian job
#4.The Town.
 
No,i just wanted to know her through her kids, alikuwa mama bora sema Charles alimsaliti tu.
Ok...basi mi huniambii kitu kwa bidada Di

Wakati anakufa nilikuwa litoto na mikamasi ckujua chochote zaidi ya kusikia ndani wanaongea coz maza huwa anafatilia sana Buckingham palace in whole..

Nilivyokuwa nikatamani kumjua Diana kwa sana, basi wee nilimfukunyua nikamfahamu!

Nilijikuta nimetokea kumpenda ghafla! Hasa kule kujitoa kwake..

Charles na Camilla wake...sio siri kaishi mda mfupi ila yalimkuta ya kumkuta!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
TYRANT ila humo ndani kuna mikuno ya liveeee bila chenga so kama upo under 18 siku shauri uangalie
 
Back
Top Bottom