hii nzuri Madagascar nayo nzuri Mwanao ukimpeleka Europe au North America akirudi Africa Atakuwa Kama Alex wa Madagascar Cartoon hehehehe! movie ambayo si nzuri kwa watoto ni Harry Porter nasikia ile ni uchawi ambao zipo shule wanafundishwa watoto Boarding England na Nchi ya England wamekiri na kuna maneno wanasema kwenye Novel ni yanatumiwa na wachawi najuwa tutasema ni movie ila siyakuipa kipaumbele. Madagascar 1 nzuri. Up nayo nzuri....bolt
pussy in buts ila ni animations
Ila kuweni makini sana na hizi filamu za action watoto hupenda ku copy sana
Mtoto wangu alikuwa anapenda avatar sana sasa siku mmoja nikamkuta kaweka mjiti mgongoni then kapanda juu ya dirisha akijiandaa kuruka kama avatar.. ni hatari sana
Au picha kama spiderman yaani watoto wanataka kuruka kama spider
Sina hakika kama huyu wa kwangu ni utundu umezidi au la? Ila umakini muhimu