Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

Azima ilikuwa bomba sana wabongo wakaiga wakaiita adama shame to them
 
Kuna ile ya kichawi sikumbuki inaitwaje ila wale wachawi wanaimba "achibopoo aachibopooo" noma asanaaa demu mchawi usiku anaenda kwa demu mwenzie anapiga paja lake unatokea mbonge wa MDUSHEEEE anamgegeda mwanamke mwenzie kudadadek....!!!!
Inaitwa "END OF THE WICKED" Mtunzi Hellen Ukpabio, muongozaji
 
Mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya bongo muvi, filamu za ki Nigeria ndizo zilikuwa zinapeta, nakumbuka baadhi ya filamu maarufu miaka hiyo kulikuwa na "suicide mission" (kichupa), "The price" (pastor ken), conspiracy, Witches, Lady bianca, Blood sisters, Christ in me. Anayezikumbuka nyingine, hebu tukumbushane nataka nizitafute.

NB: WATOTO WA JUZI MLIOZALIWA MIAKA YA 2000+ MSICHANGIE KWENYE HUU UZI HAUWAHUSU.
Karashika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom