Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

Napenda sanaa. Movie za aki na ukwa mwenye majina yake anitajie ili nidownload kujikumbushaa
Plz
 
Mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya bongo muvi, filamu za ki Nigeria ndizo zilikuwa zinapeta, nakumbuka baadhi ya filamu maarufu miaka hiyo kulikuwa na "suicide mission" (kichupa), "The price" (pastor ken), conspiracy, Witches, Lady bianca, Blood sisters, Christ in me. Anayezikumbuka nyingine, hebu tukumbushane nataka nizitafute.

NB: WATOTO WA JUZI MLIOZALIWA MIAKA YA 2000+ MSICHANGIE KWENYE HUU UZI HAUWAHUSU.
Hujaitaja Cassandra?

Ya Genevieve Nnanji ndio movie ya kwanza ya kinaigeria kuangalia mimi !
 
Kuna ile ya kichawi sikumbuki inaitwaje ila wale wachawi wanaimba "achibopoo aachibopooo" noma asanaaa demu mchawi usiku anaenda kwa demu mwenzie anapiga paja lake unatokea mbonge wa MDUSHEEEE anamgegeda mwanamke mwenzie kudadadek!!
Mkuu, hii sio SAMADORA hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom