Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

Wakuu nawapigia salut. mnakumbukumbu hizo movie zote mlizoandika nazikumbuka na nyingine bado ninazo mmenikumbusha mbali.

Mimi kila siku siwez lala bila kuangalia movie ya nigeria uwa napenda sana na niko na library nimejaza movies tu za nigeria zaidi ya 1500.

Hongera inaonekana mpenzi sana wa naija movies. Kuna televisheni star times wanaonyesha movies za naijeria muda wote.
 
Promise me forever
The narrow escape
True love
Spoiler
The charm
Evil-doers
Terrible sin
Heavy Rain
Hour of Grace
Ungrateful
I will die for you
An oath
Oracle
Emergence wedding
Guardian angel
Beloved
Crying for love
Love in bondage
Passion and pain
Ooh mother
Angel
Mr.Ibu
Second chance
Billionaire
Billionaire club
Lady Bianca
Oh my son
Conspirancy
Naomi
My cross
The holly ghost fire
Mark of the beast
Submission
Dangerous game
Apology
Honey
Last weekend
Love boat
Real love
Super love
Emotional pain
Remember
Abandon
Danger signal
Legacy
I still in love
Singles and married
To love forever
Escape to hell
Never say ever
Separate lives
Magic love
Shadow of the enemy
Trevel and see
Butterfly
Prisoner of passion
Working for love
Sister Marry
Last warning
The ericos
Games women play
Touching love and let go
 
Mi movie zangu za enzi za utoto nnazokumbuka ni cry for help, my love, oganigwe na deceiver!!

Aisee sitokaa nizisahau hizi movie!

Enzi hizo kiingilio kwenye mabanda ilikuwaga tshs 50!

Aisee chupa za soda ziliteketea sana enzi hizo!
 
Nimeangalia nyingi sana yani, ila karishika natamani kuiangalia tena hata leo.
 
Halafu yule mama wa the hour of grace pia aliigiza kweny remember your mother dah alikuwa noma hatar kweny scene za kulia, ila alinifuraisha zaidi alivyoigiz kama katili na muuaji mkuu kwenye sister marry, halafu siku izi haonekani kabisa.
 
Halafu wana vijimbo vyao fulani iv ambavyo wanavitumia kama soundtrack kwenye movie dah zinakuwag hatar sana,ukipita sehemu ukisikia tu unajua ni nigeria,wana misemo yao common kama CHINEKEE OOOH,THIS IS ABOMINATION OOH,MAY GOD FORBID IT,NOT IN THIS LAND OOOH,MAMAA STOP IT,aaah uwa nafurah sana kusikia misemo yao
 
BLOOD SISTER ilikuw poa sana,aliigiza na yule mama ambaye always amekuwa akifanya vizur sokon anaitwa PATIENCE OZOKWOR,ni mama fulani uwa sometimes ana act kama katili,mda mwingine comedian,mchawi ila the gOod thing ni kuwa uwa hakosei yule mama,kiwango vibaya,haswa haswa akicheza kama mama mkwe,duh hatarii ananitiaga hasira kimtindo uwa anaudhi sana though mwisho wa siku inabaki kuwa movie, kwa wa mama ndio anayeoongoza kwa kupendwa na umaarufu uko Nigeria.
 
BLOOD SISTER ilikuwa poa sana,aliigiza na yule mama ambaye always amekuwa akifanya vizuri sokoni anaitwa PATIENCE OZOKWOR,ni mama fulani uwa sometimes ana act kama katili,mda mwingine comedian,mchawi ila the gOod thing ni kuwa uwa hakosei yule mama, kiwango vibaya, haswa haswa akicheza kama mama mkwe, duh hatarii ananitiaga hasira kimtindo uwa anaudhi sana though mwisho wa siku inabaki kuwa movie, kwa wa mama ndio anayeoongoza kwa kupendwa na umaarufu uko nigeria

Hahaha that's mama G. Nampenda huyu mama yani anajua kuuvaa uhusika and usiombe akawa mama mkwe wako loooh utajutraaa
 
Mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya bongo muvi, filamu za ki Nigeria ndizo zilikuwa zinapeta, nakumbuka baadhi ya filamu maarufu miaka hiyo kulikuwa na "suicide mission" (kichupa), "The price" (pastor ken), conspiracy, Witches, Lady bianca, Blood sisters, Christ in me. Anayezikumbuka nyingine, hebu tukumbushane nataka nizitafute.

NB: WATOTO WA JUZI MLIOZALIWA MIAKA YA 2000+ MSICHANGIE KWENYE HUU UZI HAUWAHUSU.
 
Mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya bongo muvi, filamu za ki Nigeria ndizo zilikuwa zinapeta, nakumbuka baadhi ya filamu maarufu miaka hiyo kulikuwa na "suicide mission" (kichupa), "The price" (pastor ken), conspiracy, Witches, Lady bianca, Blood sisters, Christ in me. Anayezikumbuka nyingine, hebu tukumbushane nataka nizitafute.

NB: WATOTO WA JUZI MLIOZALIWA MIAKA YA 2000+ MSICHANGIE KWENYE HUU UZI HAUWAHUSU.
Crying for Help
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom