Filamu za kun'gfu za enzi zetu

Filamu za kun'gfu za enzi zetu

51H7A8J5CWL._SL500_AA300_.jpg
514WF5G1EWL._SL500_AA300_.jpg
Enter_the_dragon_Warners_France.jpg
jaquette.jpg
 
Nazikubali hzo.ila upatikanaji wake ni ishu kiasi kwa sasa
 
Three the hard ways. (Jim Kelly, Jim Brown na Fred Williamson)
 
In The Line of Duty. Kama kuna mtu hakuiona hii movie kipindi hicho basi aitafute mara moja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi niliiona ila napenda sana niione tena maana sikumbuki vizuri.
 
Mimi niliiona ila napenda sana niione tena maana sikumbuki vizuri.

Ni nzuri sana hii movie na story yake hata huitaji kujua kiingereza ili uielewe. Ngumi kwanzia mwanzo wa movie hadi mwisho na imepangiliwa haswaaaaaaa! Itafute mkuu ujikumbushie, mimi binafsi naipenda sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tiger cage sio,mzee don yen
In The Line of Duty. Kama kuna mtu hakuiona hii movie kipindi hicho basi aitafute mara moja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duu mi sikuwa najua title zake sababu zilikuwa zile za slide na baadae projector mikanda ilikuwa inakatika kichizi! Mara 2 au tatu kwa mwaka, easter, wakulima na noeli
 
Back
Top Bottom