Taken (2009), Munich (2004), Man on Fire (2005), The Debt(2010), Colombiana (2011),
Taken (2009), Munich (2004), Man on Fire (2005), The Debt(2010), Colombiana (2011),
Umenigusa hapo kwenye Missing ni series mpya ya mwanadada Ashley Judd, ndio nimemaliza kudonlwnload episode ya 10 pia tafuta series nyingine inaitwa Chuck japo ina ukomedy ndani yake, msururu ni mrefu ila kama vp tutafutane coz nina kama GB 2000 za series na movie tena kwaliti ya ukweli, HD na Blue ray, ila kwa haraka haraka tafuta movie zifuatazo: Five fingers, safe house hii ni mpya ya Denzel Washingtone,Hitman,Killers, Knight and Day ya Tom Cruz na Cameroon Diaz, Mission Impossible mpya(Ghost protocol) na Unthikable ya Samwel Jacson as i told tutafutane coz za kichina zitakuzingua kama kweli unapenda movie.
Mkuu nimechelewa sana kujibu msg yako nilikuwa vijijini na sijui umeshafanikiwa kudownload au la? ila kwa ufupi nenda kwenye google andika torrentz au u torrentz itakuletea hapo utacheza na maelezo na utafanikiwa kudownload.mkuu ulivyosema ku down loa umenigusa najaribu kudown load movie ya touch imenyezwa na kiefer aka jack wa 24 hrs nielekeze jinsi ya kudown load kaka
kuna mwingine kasema zko 8 nenda katafute zipo mwisho kabisa jack anawekwa kwenye gari aende akauliwe baada ya kuzuia ule mkataba usisainiwe kati ya rais taylor na mke wa rais aliyechnjwa kama umepaona hapo basi ni hawa wabongo watakuwa wamezikata il ziwe nying c unajua tena
taken 2011, ninayo kali sana....inafundisha sana
Colombiana iko poa sana, ila mwanzo inaumiza sn
kuna m2 anaitwa CATALINA anatisha
kiss them...I love these films