Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho akiwa ndani ya ndege.
"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii Bongo Movie ''MkeMchafu'' humo ndani ninaemjua ni Johari Chagula pekee yake.
But lengo la kuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I hope tutaendelea kukutana na movie zingine pamoja na miziki yetu pia kwenye mashirika mengine ya ndege.. Kwani wao waweze sie tushindwe tuna nini" - Jestina wa Jestina-george.com aliandika mtandaoni na kuwa tag baadhi ya wasanii wa bongo movies.
Hizi ni dalili nzuri, wasanii endeleni kukaza buti, wadau tuendelee kuwasapoti kwa kupenda vya kwetu.
Chanzo: BongoMovie.com