Jini anavuka barabara anahogopa magari.
Jambazi bila koti jeusi kubwa na miwani myeusi sio jambazi.
Muhuni lazima kuvuta sigara.
Tajiri suti yake utaijua ina vimistari vya viwili mstatiri na kuvaa kofia za magufuri.
Mlinzi lazima kuwa comedy.
Kwenyw movie wahasisi wa chawa walikuwepo.
Kuna jamaa alijiona kuzidi movie za marekani anakwambia movie ya terminator ilibaki kuipita ambaye mussa banzi