Filamu ya kimarekani ya "barbie" yatengeneza zaidi tri 2.3 chini ya wiki 3 tangu kuachiwa

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Hii ni kwa mujibu wa wavuti rasmi ya warner bros.

hii inaifanya kuwa filam ya kwanza kutengenezwa na mwanamke kuingiza
kiasi hicho cha pesa.

source:cnn
 
Back
Top Bottom