Filamu ya doudou na wakwe zake ya tbc

Filamu ya doudou na wakwe zake ya tbc

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari zenu wadau.Kwa muda wa takribani wiki 3 sasa nimekuwa siioni filaamu hii katika chaneli ya tbc saa kumi na mbili jioni kama ilivyokuwa zamani.Hivyo naomba yoyote anayyefahamu wakati filamu hii inapoonyeshwa au mustakabali au mabadiliko yoyote kuhusiana na filamu hii anifahamishe
 
Wameikatiza kimya kimya ndugu yangu! Haionyeshwi tena na wala hawajasema whats wrong!
Tbc ndo zao, wanaleta vitu vizuri hawavimalizii wala hawatoi tamko..
 
Back
Top Bottom