Ni kweli iliaminika hivo kwamba kuna baadhi ya wahusika walifariki pindi wanashoot hii filamu na ilifikia kipindi hadi producer aliyehusika kushoot hii movie alipelekwa mahakamani kwa shutuma za mauaji lakini alishinda kesi dhidi yake kwa sababu katika mkataba wa kushoot hii movie kuna kipengele kiliwataka actors wote wasionekane mitaani au sehemu zozote zile baada ya movie kuachiwa na hii hali ilileta mtafaruku kwamba huenda baadhi ya actors walikufa kweli ila producer alithibitisha kuwa hawakufa kwa kuwaleta actors mahakamani.