Filamu ya Cannibal Holocaust

Filamu ya Cannibal Holocaust

Mr possibility

Senior Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
175
Reaction score
134
Wadau tuliojaribu kufuatilia japo kwa juujuu tu je Nini hitimishi juu ya ukweli wa hii filamu ya miaka ya 1980s ya kuitwa Cannibal Holocaust mojawapo ya filamu ya aina yake katika industry ya filamu duniani!?

Binafsi najaribu kusoma maelezo yake Ila inavoonekana Kuna mkanganyiko na wahusika wakuu Kuna vitu vingi wanajaribu au kwa kiasi Fulani wamefanikiwa kuficha ukweli juu ya mauaji yaliyotokea katika mchakato wa kuandaa filamu hii
Labda Kama unachochote unajokijua au kukifahamu hebu funguka ili na wasiofahamu waweze/tuweze kufahamu
 
Ni kweli iliaminika hivo kwamba kuna baadhi ya wahusika walifariki pindi wanashoot hii filamu na ilifikia kipindi hadi producer aliyehusika kushoot hii movie alipelekwa mahakamani kwa shutuma za mauaji lakini alishinda kesi dhidi yake kwa sababu katika mkataba wa kushoot hii movie kuna kipengele kiliwataka actors wote wasionekane mitaani au sehemu zozote zile baada ya movie kuachiwa na hii hali ilileta mtafaruku kwamba huenda baadhi ya actors walikufa kweli ila producer alithibitisha kuwa hawakufa kwa kuwaleta actors mahakamani.
 
Aisee so mchezo kwa sababu Yale si maigizo wala edits za kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom