Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Hawa jamaa wa Mwanza wameamua kuifanya filamu ya YESU upya.
Wameifanyia jijini Mwanza na kuzinduliwa siku ya pasaka ainaanza kuuzwa.
Ila kwa hii picha tu hapa mimi binafsi siwezi kununua kabisa
Movie ya Yesu na maboda boda yamo, Utakuta pilato anafika eneo la tukio na bajaj
Mara Yuda anayemsaliti Yesu anaenda kutoa hela zake tiGo pesa, tena anawasisitiza kabisa jina
litakalotokea wakati wanatuma ili wasikosee na anatumia nokia ya Tochi.
Kingine mpaka bendera za CHADEMA na CCM zimo kabisa.......
Stay tuned