Yaa ile ndio ilikua finito. Director amekosea kidogo. Picha za kizungu ndio zinamwisho unaoeleweka.
TBC I wametangaza Filamu Mpya baada ya Jin Tai Lang Kuisha. Filamu hiyo inaitwa kwa Kiswahili, Maisha ya Mama.
Katika Tangazo lao nimuemona Mama Shaomi, Mwalimu Hu, Bosi wake Mama Shaomi na Wengineo. Bonge zembe sijamuona wala Mzee Jin, lakini nadhani watakuwemo.
Itakua inaonyeshwa Jumanne na Jumatano saa nne Usiku, Masurudio Jumamosi Saa sita. Ngoma inaanza Jumanne tarehe 27/10/2014.
Ok. Tusubiri tuone.
Mkuu hebu tuweke sawa hapo kwenye red.!!
Jamani nimeianzia katikati hata sijaelewa mama shaumi kaigiza bibi
Yaan hat hapendezi ....anapendeza kuwa mkali mkali
Jamani nimeianzia katikati hata sijaelewa mama shaumi kaigiza bibi
Yaa ile ndio ilikua finito. Director amekosea kidogo. Picha za kizungu ndio zinamwisho unaoeleweka.
Jamani nimeianzia katikati hata sijaelewa mama shaumi kaigiza bibi
Yaan hat hapendezi ....anapendeza kuwa mkali mkali
Vipi kwani wema yupo?au sio bongo movie
Wema ndio mdudu ganiii