Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Jamani wakuu ndugu zangu nimeikumbuka filamu ya KIBUYU enzi hizo.Ilikuwa ikitangaza kuhus NSSF.Je naweza ipata wapi?
Filamu ya kibuyu haikuwa ya kibiashara na haikuwahi kuuzwa sehemuJamani wakuu ndugu zangu nimeikumbuka filamu ya KIBUYU enzi hizo.Ilikuwa ikitangaza kuhus NSSF.Je naweza ipata wapi?
Filamu hii ilitengenezwa ikiwashirikisha vijana waliokuwa wanasomaBwana wewe,nahisi kudanganywa.Mi mpenzi wa muvi za filamu siku nyingi.Sijawahi kusikia hii tafadhali jaribu tena baadaye
Filamu hii ilitengenezwa ikiwashirikisha vijana waliokuwa wanasoma
chuo cha Bagamoyo na kuongozwa na Hammie Rajab. Inawezekana
hujawahi kuisikia kwa kuwa haikuwa ya kibiashara bali ya mradi, mara
nyingi filamu za miradi huishia kwenye makabati...