Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
saudari mimi ni mgeni hapa, eti gari ni kitu gani tena?
Anaongoza ama anapotoshwa na wasaidizi wake?JK ana kazi kwakweli kuongoza kundi kama hili:confused2:
Nashukuru kwa kumjibu, ila na wewe nakupa homework.
Hebu fikiria uko na kipofu halafu anakuuliza gari ni nini utamwelezeaje ili na yeye aelewe kama alivyoelewa Bujibuji????
Mi bado sijaelewa, labda nitafutiwe tuisheni na spesho class
Hilo ni gari la Arsenal Wenger, bado anamheshimu Van Persie.
JK ana kazi kwakweli kuongoza kundi kama hili:confused2:
duh!!!!!Duuh! unashabikia hadi unakuwa tayari kuliwa 0713?