Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Nimefuatilia michango ya wabunge kwa makini. Jambo moja kubwa limejitokeza, wazungu wanaonekana kuwa ni chanzo cha matatizo yetu mengi!
Nakubaliana kuhusu lack of leadership,however kama huna insight ya the other side of the coin,then just chill out usome maoni ya wengine.Si lazima uchangie evrything.Wanaooanisha uzungu na matatizo yetu wao ndiyo wana matatizo. Wana matatizo ya chuki. Chuki hizo ziko kwenye misingi ya rangi ya ngozi ya mtu.
Sasa hayo ni maono mafupi na mabaya sana kwa sababu ni ya kibaguzi. Matatizo tuliyonayo hayana uhusiano wa moja kwa moja na rangi ya ngozi ya mtu. Matatizo yetu mengi na kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na uongozi mbovu usiowajibika na usiojua kuwajibisha.
Sishangai kwa nini baadhi ya watu wawalaumu wazungu. Hii ni njia ya kuepa lawama na kuepa uwajibikaji ambayo imetumika sehemu nyingi duniani. Ni rahisi sana kwa mtu kumnyooshea mtu mwingine kidole cha tuhuma za ubaguzi kuliko kujiangalia mwenyewe na kuwajibika.
Tatizo la Tanzania siyo wazungu. Tatizo la Tanzania ni uongozi mbovu usio na sera bora, ubunifu, na usiofuata utawala wa sheria.
Nakubaliana kuhusu lack of leadership,however kama huna insight ya the other side of the coin,then just chill out usome maoni ya wengine.Si lazima uchangie evrything.
Wanaooanisha uzungu na matatizo yetu wao ndiyo wana matatizo. Wana matatizo ya chuki. Chuki hizo ziko kwenye misingi ya rangi ya ngozi ya mtu.
Sasa hayo ni maono mafupi na mabaya sana kwa sababu ni ya kibaguzi. Matatizo tuliyonayo hayana uhusiano wa moja kwa moja na rangi ya ngozi ya mtu. Matatizo yetu mengi na kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na uongozi mbovu usiowajibika na usiojua kuwajibisha.
Sishangai kwa nini baadhi ya watu wawalaumu wazungu. Hii ni njia ya kuepa lawama na kuepa uwajibikaji ambayo imetumika sehemu nyingi duniani. Ni rahisi sana kwa mtu kumnyooshea mtu mwingine kidole cha tuhuma za ubaguzi kuliko kujiangalia mwenyewe na kuwajibika.
Tatizo la Tanzania siyo wazungu. Tatizo la Tanzania ni uongozi mbovu usio na sera bora, ubunifu, na usiofuata utawala wa sheria.

Nakubaliana na wewe asilimia 100. Siku zote wajinga wanatafuta scapegoat. Hitler alisingizia Jews, sisi tunasingizia wazungu. Mzungu ndio anakulazimisha ununue gari la waziri kwa mil 300? mzungu ndio anakufanya ujenge shule za kata zisizo na walimu? mzungu ndio amemgeuza rais wenu kuwa vasco da gama?

Kuna wazungu wanaipenda tanzania kwa moyo wao wote na kuna wanyonyaji, just like the case with our leaders...mfano; Slaa na lowassa, Mbowe na kikwete, huku tusimsahau mkapa....

Tutafanya majumuisho kwa pamoja. Tuendelee kusikilizana!
The other side is the one you dont have any insight on.Soma taratibu.Ama nyie ndo wale wa kata?And what is that other side of the coin Mr. Meku?

nani kafanya majumuisho? mie nimetoa opinion yangu....
The other side is the one you dont have any insight on.Soma taratibu.Ama nyie ndo wale wa kata?
Ntaachaje kudharau makamasi?Swali gani?Wacha dharau Meku. Wee unadhani tuko kwenye kilabu cha mbege hapa? Eboooo!!! Haya jibu swali langu.

Nakubaliana na wewe asilimia 100. Siku zote wajinga wanatafuta scapegoat. Hitler alisingizia Jews, sisi tunasingizia wazungu. Mzungu ndio anakulazimisha ununue gari la waziri kwa mil 300? mzungu ndio anakufanya ujenge shule za kata zisizo na walimu? mzungu ndio amemgeuza rais wenu kuwa vasco da gama?

Kuna wazungu wanaipenda tanzania kwa moyo wao wote na kuna wanyonyaji, just like the case with our leaders...mfano; Slaa na lowassa, Mbowe na kikwete, huku tusimsahau mkapa....
Kama hujui historia,then achana na siasa.Inaonekana wengi humu kwenye jukwaa la siasa hawajui history na how imeshape the current world.