princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,194 Reaction score 2,063 Jul 31, 2019 #2 Ze wani hu diskasing pipoz ishu hav wiki maindi...Ebu ngoja kwanza huyo ndo wewe mkuu??
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 24,039 Reaction score 30,927 Jul 31, 2019 #3 Kwa mawazo ya Socrates viongozi wengi wa Tz wapo kwenye kundi la weak minds ndio maana kutwa wanakesha kufuatilia nani kaongea nini, muda gani kaongea na nani
Kwa mawazo ya Socrates viongozi wengi wa Tz wapo kwenye kundi la weak minds ndio maana kutwa wanakesha kufuatilia nani kaongea nini, muda gani kaongea na nani
M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,490 Reaction score 2,290 Jul 31, 2019 #4 Ndo maana mimi napatikana sana kwenye jukwaa la great thinkers tu