lipi litaanza kujaa?![]()
3lipi litaanza kujaa?![]()
Namba 3 ndilo litakaloanza kujaa ikiwa maji yanayotoka ni sawalipi litaanza kujaa?![]()
Umejibi kitu ambacho hakuna mtu alikuwa anakifikiriaItategemea na kiasi cha maji yanayoingia na kutoka. Kama maji yanayoingia ni mengi kuliko yanayotoka basi itaanza kujaa namba Moja. Lakini kama maji yanayoingia ni sawa na yanayotoka basi litaanza kujaa namba nne!
Yote hayo itagemea endapo hizo container zimefungwa. Kama hazijafungwa basi namba nne ikijaa maji yataanza kumwagika na mengine yote hayatajaa.
Kwamba nimeenda nje ya mada Mkuu?Umejibi kitu ambacho hakuna mtu alikuwa anakifikiria
Mkuu una utani na lumumba ?Hivi fikra pevu ni akina lizaboni??