Fikra pevu kutoka kwa Bonta

Unapoandika kitu jaribu kutoa na Credit kwa yule uliyecopy naona karibu thread zako zote unacopy Facebook kwa huyu jamaa!
Mkuu mbona kama watokwa na kapovu vilee. Sasa unajuaje kuwa ana copy je kama ni mtu mmoja jee anaye andika kule na huku maana hapa ni mwendo wa fake ID
 
Kuna wimbo Bonta aliwahi kuimba akiingizia jina la Bikira Maria, sina kumbu kumbu alifananisha na mistari yake au nini.

Tokea pale sikai nikamsikia Bonta tena.
 
Ukibahatika kukutana na % kubwa ya walimu wa primary utayakana maneno yako....au watembelee walimu wanaopokea watoto kutoka sm
 
Kwahiyo kwasababu ameimba sijui zero ndo apewe udokta?! Kila mtu akisema afanye kitu ili tukamtunuku unadhani tutawatunuku wangapi ? By the way hata T.O.T waliimba "acha tuisome namba" nadhani kwa wimbo huo ilitakiwa wapewe PhD maana yanayo imbwa humo ndani ndiyo yanayotokea mtaani kwenye hiki kipindi.
 
Ukibahatika kukutana na % kubwa ya walimu wa primary utayakana maneno yako....au watembelee walimu wanaopokea watoto kutoka sm
Tatizo siyo uwezo wa mwalimu husika maana hiyo siyo IDEA ya huo wimbo. Hao unaowasema ni walimu wa primary ni huwezi kukwepa ukweli kwamba huko wanakofundisha "Yaani Primary" walifaulu na kabla ya kuwa walimu waliwekwa darasani kwa miaka 2 !
 
Mkuu mbona kama watokwa na kapovu vilee. Sasa unajuaje kuwa ana copy je kama ni mtu mmoja jee anaye andika kule na huku maana hapa ni mwendo wa fake ID
Umemmaliza mkuu[emoji106] [emoji106] msamehe amekurupuka
 
Ww ndio hata huelewi nini kinajadiliwa hembu soma vizuri uelewe nani kakwambia u dr unapewa kirahisi hivyo na toka lini basata wakampa mtu u dr
 
Kuna wimbo Bonta aliwahi kuimba akiingizia jina la Bikira Maria, sina kumbu kumbu alifananisha na mistari yake au nini.

Tokea pale sikai nikamsikia Bonta tena.
Jamaa nyimbo zake zote ni upuuzi, na kibaya yeye mwenyewe huwa anajiona anajua balaa kumbe pimbi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…