Kachocho T.K
Member
- Feb 1, 2011
- 25
- 3
Baada ya watanzania kuelekea kukombolewa na CHADEMA basi wapambe na wapambanaji wenye tambala jeusi machoni, wameanza kusema eti CHADEMA inataka kuleta vita na kuvunji amani. Kuna kosa gani wananchi kujua vitendo viovu na ukandamizaji hasa kwa wanyonge unaofanywa na serikali ikiwemo kupanda kwa bidhaa muhimu na gharama nyingine za maisha kwa mtanzania wa kawaida?