Fikiri kwa kutumia kichwa!

Duh hapo cjapata jıbu

Nimepata jibu Jaguar my frnd Give 10000 Tim alimpa pesa ya chenji i mean myb jero jero bt Tom alimpa buku kamili Ha ha

Ahahahaaah!thanx mkuu Janja P,nitakutumia kwa M-pesa!you are right buddy!

huenda huyo m1 alitoa 1000 ikiwa ni 500+500 na huyo mwingine alitoa 1000 kavu
usiniambie kama nimekosa mazee

uko sahihi kama alivyojibu JP hapo juu!

Timu atakua mteja, muuzaji anajua kawaida yake ni ice cream kubwa

Ahahahaaah!thanx mkuu Janja P,nitakutumia kwa M-pesa!you are right buddy!

Bado sijaona jibu mkuu,kama mmoja alimpa mia tano mbili kwa nn asingemuuliza kama anataka ice cream 2 za mia tano mia tano.coz walikuwa wawili?

Kwahiyo hapo waliopata wanafikiria kwa kutumia kichwa, na waliokosa wanafikiria kwa kutumia nini?

Mh,swali lako lina logic,may be kila mmoja alikuwa na pesa yake ameishika mkononi!

Kwahiyo hapo waliopata wanafikiria kwa kutumia kichwa, na waliokosa wanafikiria kwa kutumia nini?

Majibu yote ni sahihi ila kuna lililo sahihi zaidi,kwa hiyo wote wanatumia kichwa kufikiri!

topic inasema Fikiria kwa kutumia Kichwa!

mi nafikiri kwamba hiyo sehemu tim&tom waliponunulia ice cream wao ni regular customers,kwamba tim always anachukuaga kubwa and tom ni kigeugeu mara leo kubwa mara kesho ndogo,

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…