Fikiri kabla ya kutenda.

umenikumbusha jambo ambalo limenifanya niache kinywa wazi

sina lugha ya kuiweka hapa lkn saa ikifika nitakupa ushuhuda huo

Mwalimu gfsonwin nitausubiri ushuhuda wako maana naamini ni wa muhimu sana na una mengi ya kusema kuhusu hilo
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha una akili zilizotulia na ni mtu mzima uliyepevuka na hii inaingia kwenye maeneo mengi sana ya kimaisha
 
Mkuu umeandika mambo ya ukweli kabisa, wakati mwingine tunajihesabia haki wenyewe
 
Life is a learning experience.
I've seen a lot of cases similar to this one. Its time people change.
Thanks mkuu. Pamoja sana.

"Time for change is now" huu usemi nimeusikia sana karne hii tuliyomo ila cha kushangaza watu hawabadiliki. Sasa sijui kama mabadiliko yanayotokea hayawasaidii kubadilika au wenyewe tu wameamua kupuuzia mabadiliko.
Bado natafakari
 
lucky dube he is real lucky and talented
 
asanteeee kwa somo zuri
tuache kuhukumu
wengine ilhali sie wenyewe
hatujui mapungufu yetu!!
 
Ujumbe mzuri.. heavean on earth karibu huku
 
Na huku kujihesabia haki kunatutesa sana katika maisha.
Ahsante mtoa mada.
Kusema kweli hata mimi hii tabia kuna wakati nakuwa nayo lakini now nakua na kujifunza mengi sana
 
Inaonyesha una akili zilizotulia na ni mtu mzima uliyepevuka na hii inaingia kwenye maeneo mengi sana ya kimaisha

At times the challenges & life experiences we face shape us to who we are. Thanks mkuu.
 
Kusema kweli hata mimi hii tabia kuna wakati nakuwa nayo lakini now nakua na kujifunza mengi sana

Mara nyingi sisi wenyewe ndio chanzo cha yote yanayo tokea maishani mwetu whether positively or negatively.
You never change things by fighting the existing reality. To change things, you build a new model that makes the existing model obsolete.
 
Salute kaka

Ahsante kwa ujumbe mzuri sana
 
dah! Kweli shule popote, mzee leo umenipeleka darasani kabisa! thanks mungu akubariki uendelee kusambaza mawaidha kama haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…