leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,707
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kupindukia la wagonjwa wa figo tofauti na hapo awali. Hii inatokana na ongezeko la vinywaji fake katika mabaa pasipo udhibiti wowote katika uingizaji
Kwa utafiti binafsi nimegundua hasa vijana ndio wameathirika sana na tatizo hili la figo kushindwa kufanya kazi.
Wito wangu kwa serikali ni kuhamasisha wananchi kuwa makini wanunuwapo bidhaa hasa vyakula na vinywaji na pia kuifuatilia mamlaka ya TFDA kama kweli inatekeleza majukumu yake pasipo uzembe na rushwa.
Pasipo kufanya hivyo taifa litaangamia.