Fifa19 android game Offline

Fifa19 android game Offline

Mnazingua kudadeki link inagoma
We ndo unafeli mkuu fuata tu maelekezo ya kudownload kwnye link then fuata hatua za video hiyo youtube ili licheze mbna m nimeingia sahz inakubali nungetuma picha sema inagoma
 
Fifa zuri Kuzidi first touch,nipeni uzuri wake
 
We ndo unafeli mkuu fuata tu maelekezo ya kudownload kwnye link then fuata hatua za video hiyo youtube ili licheze mbna m nimeingia sahz inakubali nungetuma picha sema inagoma
Apo unasema tudownload app gan play store???
 
Fifa amemzid nn first touch?

Kuli install fifa nimeona nisawa na first touch

Hatua zile zile ,uwe na Zarchiver app
 
Fifa amemzid nn first touch?

Kuli install fifa nimeona nisawa na first touch

Hatua zile zile ,uwe na Zarchiver app
Ndio hatua zile zile ila huwezi fananisha fifa na FTS coz FTS wachezajo hawafanani hata robo alafu jepesi Fifa wanafanana na ni gume
 
Fifa zuri Kuzidi first touch,nipeni uzuri wake
Fifa ni Gumu FTs ni jepesi
Fifa wachezaji wanafanana sura FTS hamna uhalisia unaweza kuta ata game wachezaji wote wamevaa heleni na lukaku mweupe
Fifa ina Kombe la dunia la vilabu
FTS haina kombe la dunia la vilabu
 
Mkuu hiyo username yako tu....nilishawahi kutana na mtu akiitwa hivyo
 
Mimi nisha install kila kitu,Ila kuplay linagoma,display i abaki nyeusi tu.
Shida nini,memory au?
 
Fifa ni Gumu FTs ni jepesi
Fifa wachezaji wanafanana sura FTS hamna uhalisia unaweza kuta ata game wachezaji wote wamevaa heleni na lukaku mweupe
Fifa ina Kombe la dunia la vilabu
FTS haina kombe la dunia la vilabu
Kuna chumvi umeongeza kali sana FTS wachezaji wanafanana? Huo ni ulevi wa fifa sasa,
 
Back
Top Bottom