Fifa14 Game na Utabiri wa Soka 2016

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,781
3,928
.

.
Ukiangalia hii Video ibayojplay km hujabonyeza kitu ukfungua fifa 14 km lmetabiri mwaka huu...
Lnaanza kwa..
1.wachezaj wa dortmund wanalia (refer kufungwa na bayern fainal f.a cup yao 2016)
.
2.yaya toure na kampany wanapongezana kuwatoboa psg (Uefa 2016).
.
3.ronaldo cr7 kashika kchwa anejiinamia naa uzi wa portugal (hiii bado kidoogo,utabir wa euro cup)
.
4.wachezaj wa psg wakpongezana kwa kuwapga Marseille (refer fainal ya french cup).
.
5.wachezaj wa tottenham wakiwa na huzun ++ baada ya kupngwa,inavoonekana n magoli meng (refer mechi ya mwsho ligi kuu england)
.
6.MAIN POINT ...WACHEZAJI WA Atletico Madrid wanashangilia hku mchezaj mmoja wa Real madrid kainama analia...(huu ni mech ya leo ucku,fainal uefa).
.
7.bda ya apo panaonyeshwa Nou camp wanashanglia hku kna neymar wanaingia..(hii km mech ya mwsho ligi laliga)..
..NAMBA 6 iyooo..
#myTake-waweka mizigo aya maoni yng refering Fifa 14
video inayojplay ucpobonyeza chochote bda ya kuifungua na ilvotabir mcmu wa 2016..
Ukiendelea kuitazama kna ad leicester city
..
Uchawi or Coincidence..
By gp1rooney
.
 
Its true aisee about Fifa 14, kuna vi utabiri flan hivi.. nilicheza career mode (player).. Neymar alihamia Man City then akaenda Bayern, Suarez to Barca, Lewandowski to Bayern then to Real Madrid, Morata to Chelsea, Dani Alves to Inter Milan, Alexis Sanchez to Dortmund

Yaan transfers za kufa mtu zingine hutamani hata zitokee in real world
 
True man...
Kwny transfer imetabr vng sana
 
Its true aisee about Fifa 14, kuna vi utabiri flan hivi.. nilicheza career mode (player).. Neymar alihamia Man City then akaenda Bayern, Suarez to Barca, Lewandowski to Bayern then to Real Madrid, Morata to Chelsea, Dani Alves to Inter Milan, Alexis Sanchez to Dortmund

Yaan transfers za kufa mtu zingine hutamani hata zitokee in real world
mkuu naipataje hiyo game msaada pls
 
Back
Top Bottom