Fifa yatoa majina matatu tuzo za mchezaji bora wa fifa,Messi aachwa

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Kupitia website yao,Fifa imeyaweka wazi majina ya Ronaldo,Modric na Mo Salah kuwa ndio majina matatu ya mwisho na mmoja wao atatangazwa kuchukua tuzo hiyo tarehe 24 mwezi huu,huku kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi jina la Messi likikosekana.

Majina katika vipengele vyengine ni
Kipa bora wa mwaka wa FIFA

Thibaut Courtois – Real Madrid
Hugo Lloris –Tottneham
Kasper Schmeichel – Leicester City

Kocha bora wa mwaka wa FIFA
Zlatko Dalic – Croatia
Didier Deschamps - France
Zinedine Zidane – Real Madrid
 
Mo Salah baba lao
IMG_20180903_193510_306.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.
Kwa hao wengine wawili kuwepo sioni shida ila kwa salah au kwa sababu anacheza Uingereza.
Messi kutokuwepo ile ya Uefa ilikua sahihi ila ukipima mafanikio ya jumla Salah kaachwa mbali mno.

Kamtoe Salah kama una ubavu muweke Messi ili iwe ni Messi, Ronaldo na Modric.....
 
Mchezaji bora wa ulaya Luka Modric, kiungo bora ulaya Luka Modric, mchezaji bora wa michuano ya FIFA world cup 2018 Luka Modric. Paka hapa haina haja yakuumiza kichwa, hii tuzo ni ya Luka Modric.
 
Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.
Kwa hao wengine wawili kuwepo sioni shida ila kwa salah au kwa sababu anacheza Uingereza.
Messi kutokuwepo ile ya Uefa ilikua sahihi ila ukipima mafanikio ya jumla Salah kaachwa mbali mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Messi kutokuwemo ile ya UEFA ni sahihi.
Uefa ni ulaya.. Ulaya wasipokutambua wapi utatambulika.
 
Back
Top Bottom