Ngoja yule anaedai Pesa zake aibuke maana aliapa kama wakimruhusu anaacha uongozi wa mitaa ya Msimbazi ngoja tuone.....!!!
Hi post inakua post bora na nzuri ya jukwaa hili tangu mwaka huu uanze.Emmanuel anord okwi ameruhusiwa kuishezea yanga baada ya kusimamishwa kutokata na utata wa usajili wake source fifa na times fm
Ngoja nimpigie lol!teh teh teh rage anajua...?
Na hii habari imekuja wkati muafaka kabisa.Hi post inakua post bora na nzuri ya jukwaa hili tangu mwaka huu uanze. Ila wapo watakaonuna. Cc Masuke Revocatus Kashaga Makoye Matale ACCOUNT FULL ndetichia watu8 Katavi Kitoabu
Ngoja yule anaedai Pesa zake aibuke maana aliapa kama wakimruhusu anaacha uongozi wa mitaa ya Msimbazi ngoja tuone.....!!!
Hi post inakua post bora na nzuri ya jukwaa hili tangu mwaka huu uanze.
Ila wapo watakaonuna.
Cc Masuke Revocatus Kashaga Makoye Matale ACCOUNT FULL ndetichia watu8 Katavi Kitoabu
Hiki ndicho kikosi cha kuwatoa waarabu koko wa misri.
1.Juma K Juma
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadri Cannavaro
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Mrisho Ngassa
8.Haruna Niyonzima
9.Didier Kavumbagu
10.Emanuel Okwi
11.David Luhende
Benchi...........