Fifa yabaini hili

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ikiwa ni round ya mtowano ikizidi kutimua vumbi katika fainali za 20 za kombe la dunia uko brazil shirikisho la mchezo uwo fifa limeonyesha mashaka kuhusu matumizi ya fedha zake ambazo huzitoa kwa mashirikisho ya kandanda katika mabara husika, hii imekuja bahada baadhi ya mabara mataifa yake kutoweza kuvuka hata awamu ya mtowano katika michuano hiyo, mfano asia timu zote tano ziliweza kuondolewa katika hatua ya awali ya michuano iyo , timu izo ni japan,iran, korea, bosnia h",na russia. Pia barani ulaya katika timu 12 ni timu 6 tu ndio zimefuzu hatua ya pili, barani afrika katika timu 5 ni timu 2 tu ndio zilizofuzu ; hii ni tafauti na america ya kati na kusini ambapo kwa Ni timu mbili tu yaani hondurous kwa amerika ya kati ,na equador kwa amerika ya kusini, hii imeleta maana ya kwamba mchezo wa soka una amasa zaidi america ya kusini,kwani katika timu 5 ni moja tu ilioshidwa kufuzu kwa awamu ya pili,
 
wamepagawa kuona vgogo vimefungashiwa mapema!0
 
bosnia na russia zipo asia?.
 
Hapana bana timu kama Cameroon, Australia, Spain, England, Ghana, Portugal wameboronga wao wenyewe.
 
bosnia na russia zipo asia?.

Hii kali. Div 5 hizi
Kwa Bosnia sielewi ipo hasa upande gani ila kwa Russia wanaiweka sana upande wa Asia kwa sasa sijui ni kwanini ila eneo lao kubwa limeingia sana Asia na upande wa ulaya Russia imefika hadi kama sikosei ni Finland sina uhakika kwa hilo,google uangalie ramani vizuri
 

Hao wote wako ulaya mkuu. Tena alikuwa ameongoza kundi lao..kama sikosei walikuwa kundi moja na ureno
 
Hao wote wako ulaya mkuu. Tena alikuwa ameongoza kundi lao..kama sikosei walikuwa kundi moja na ureno
Kimichezo ni kweli waliwekwa kundi la Ulaya na ipo ulaya kweli,but in geographical point of view wanasema Russia 40% ni Europe and the rest is Asia...ila wanachi walio wengi wanaishi Europe na inawekwa Europe kwa kuwa Ethnicity ya watu wao ni wazungu na sio waasia.In short ni kuwa wananchi Ethnicity yao ni wazungu ila Russia eneo lao kubwa lipo Asia zaidi but na idadi kubwa ya wananchi wanaishi Europe

see this comments
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
"European" is mainly used as a geographical term; in this sense a Russian can be "European" or "Asian" depending on the continent they were born/live on, but all ETHNIC Russians are considered racially White (Indo-European people and linguistically Slavic), not Asian. In other words, all ethnic Russians are of European descent as ethnicity does not change with geography. A white person born in Africa is still white, although he/she may be called "African" (or Afrikaner).

Russians gained control of much of Asia through colonialism when they expanded eastward under the tsars, as a result numerous conquered ethnic minority groups continue to live in Russia. Thus, in case you were wondering why I keep stressing the word ethnic; some Russians are "Russian" only by nationality, not ethnicity. Most of Russia's minority population is ethnically Turkic or Asian (in case anyone gets confused and wonders why some Russians "look Asian").

Russia west of the Ural Mountains is considered geographically European, while Russia east of the mountains in considered Asia. Russia has about a quarter of her territory in Europe. In fact, 40% of Europe is Russian land. Also consider the fact that about 79% Russia's entire population lives in European Russia and that most of Russia's large cities, including the capital, are located in Europe.

By the way, as Russia is historically a European state, this explains why Russia is always discussed as European (historically, politically, culturally, economically, socially, etc.) except when talking about geography, in which case it is called "Eurasian" because it spans two continents.

Your friend by now should be convinced that Russia is best considered a European country. If all else fails, just point out to him that the United Nations considers the whole of Russia to be an Eastern European state (which is why Russia always plays in European tournaments during any sporting event).
 

Sasa fifa imebaini nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…