FIFA yaamuru Urusi kucheza bila Bendera na Wimbo wa Taifa

Hiyo michuano urusi atacheza na wasipongalia atachukua kombe hata kwa kuliiba ili mwamba Putin ajiwekee historia zaidi.
 
Eeh si walijifanya ngumu kuwa Urusi haitashiriki kwenye michezo ya FIFA. Putin kasema NO RUSSIA NO PART. Huyu Putin ni mtu na nusu yaani ni kama tembo mkubwa wanataka kumfunga na kamba kwenye mti,atakata tu. Wamelegeza masharti sasa na huo ndio mwanzo at the enf of the day hiyo nyimbo ya Taifa itaimbwa na nitawakumbusha nyote 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Putin anawakera sana USA na NATO yake.
 
Eeh si walijifanya ngumu kuwa Urusi haitashiriki kwenye michezo ya FIFA. Putin kasema NO RUSSIA NO PART. Huyu Putin ni mtu na nusu yaani ni kama tembo mkubwa wanataka kumfunga na kamba kwenye mti,atakata tu. Wamelegeza masharti sasa na huo ndio mwanzo at the enf of the day hiyo nyimbo ya Taifa itaimbwa na nitawakumbusha nyote Putin anawakera sana USA na NATO yake.
Shida hapa ni Putin dhidi ya USA na NATO baaasi, FIFA kimbelembele cha nini?
 
Kuna nchi imefungiw kwa kuchanganya politics na football wao apo wamemix nin na nn. Kwan wachezaj wa urus ndo walio sababisha vita? Hypocrisy FIFA
Tumia akil zko vzr , nlitegemea kuona utimamu wako kwny kukemea mauaji ya raia wema kwa tamaa za Putin ku imeza Ukraine , siku ukivamiwa ww ndo utapata akili vzr
 
Hata Hitler alitamba sn ila alifika mwisho , kwann analazimisha mazoea na makombe ya watu aanzishe la kwake na awatoe FIFA
 
Ni siasa bro..kama ambavyo wao hawataki mamlaka za ndani kuingilia masuala ya uendeshaji wa soka hata wao wamejichanganya kuingilia masuala yao ya ndani..sasa wimbo wa Taifa usipgwe ndio nini! wamekiuka hata kanuni/katiba yao!
Tumia akili.zko vzr , mpira unachezwa na binadamu ambao wanaguswa na huo mgogoro hasahasa NATO vs RUSSIA , na mkorofi ni RUSSIA maana kashindwa vita ya ushawishi kaamua kushika mtutu tena anampiga mtu ambae yupo nje ya vita ya NATO vs URUSI , na bado wapo warusi wa buza wanashabikia wkt warusi wenyewe wanapinga huo uvamiz
 
Watakavyoshituka watakuta Kyiv imepanda russian flag
Usichoelewa ni kuwa Ulaya ni muhimu zaid kwa Warusi zaid ya hiyo Ukraine , na ndio maana wanaandamana kupinga uvamiz wa warusi ndani ya Ukraine
 
Watanzania kwa kuwa na akili za kukurupuka tumekuwa tunashabikia losing side tangu WW1 , Putin hata raia wake wanampinga kwa uvamiz wake ndani ya Ukraine
 
Hiyo michuano urusi atacheza na wasipongalia atachukua kombe hata kwa kuliiba ili mwamba Putin ajiwekee historia zaidi.
Hitler alikuwa hatar zaid ndan wiki za mwanzoni alikuwa kashateka mataifa makubwaa na imara
 
Ulitaka wakae kimya ? kwan Russia inaua wanasiasa tu ? sio kila kitu kinahitaji ushabiki , tunazungumzia uhai wa binadamu ww unaleta ushabiki maandaz
kichwa maandazi ni wewe ndio maana umeshindwa kujenga hoja kwani mauaji yameanza leo. Nyie ndio mlienda shule kusindikiza wengine.
 
Back
Top Bottom