Tdm255
Member
- Mar 17, 2018
- 8
- 3
Mbona kama ana kilo 2 iviYule ni mkubwa kuliko Kombe la Dunia.
Mbona kama ana kilo 2 iviYule ni mkubwa kuliko Kombe la Dunia.
aende asiende ww unapungukiwa nnDiamond anaenda kuperform au haendi? Naona kimya na kombe linakaribia
Mbona umenijibu kwa hasira? Maana alisema anaenda ndo maana nkaona kimya sasa nashangaa unanijibu kwa hasiraaende asiende ww unapungukiwa nn