wewe si mshabiki wa maradona, mshabiki wa maradona hawezi kamwe sema kuwa messi ndio mchezaji bora wa muda wote.
Maradona hakuishi kwa stats, jama aliishi kwa pure skills.
Acha kuifananisha MLS na uchafu. Mchezaji kutoka MLS kwenda ulaya ni kugusa tu lakini kutoka ligi ya Bongo kwenda ulaya ni mtihani halafu unasema standard hazitofautiani.