kweli mkuu, games za Android sio mbaya kivile Ila tatizo Ni lengo la kutengeneza Hilo game ndio Baya. From scratch magame yake yanatengenezwa ili watu wanunue vitu ili Kushinda (In app purchase), hivyo unakuta kunawekwa vitu kibao visivyo na maana ili mradi tu utoe hela.
Games za PC Na console Ni tofauti Zina depth, na hauhitaji kununua chochote Kushinda.