Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,008
- 100,224
..hahahahahaha..sawa mkuu...we unamtaka nani pale tff?Simtaki malinzi na kagroup kake make anatetewa na wanbura ambae ni sumu ya soka letu,. Wasiruhusiwe hawa kukanyaga pale tff tutarudi tulikotoka mwaka 2000
Simtaki malinzi na kagroup kake make anatetewa na wanbura ambae ni sumu ya soka letu,. Wasiruhusiwe hawa kukanyaga pale tff tutarudi tulikotoka mwaka 2000
Hata kama FIFA wakiwarejesha kugombea, TFF wamejipanga kwa wapiga kura wao kumchagua waliompitisha. Kama huamini subiri utaona.
Mkuu, WAMEJIPANGA hawa. Wapiga kura ni wale wapo upande wa watawala pale TFF, ushahidi ni pale walipobadilisha katiba kwa e-mails! Wao wanaita 'conference'.kaka uchaguzi ukifanyika...malinzi akipewa nafasi..ya kugombea Nyamlani hashindi hata kdg..na ndio maana anataka awe pekee yake..
..hahahahahaha..sawa mkuu...we unamtaka nani pale tff?
Unamtaka Nyamlani? Anakukuna sawa sawa eeeh!
unawaza kukunwa tu lidume zima huna hata aibu kupenda pakatwa na wanaume wenzako
Ndo walewale wa MITUSIUnamtaka Nyamlani? Anakukuna sawa sawa eeeh!
..hahahahahaha ni kweli wamejipanga ila sio wote ni zile kamati tu..ila uchaguzi ungefanyika hata angegombea Nyamlani au yule jamaa wa kigoma angeshinda yule jamaa,Nyamlani hajiamini..chukua hiyooMkuu, WAMEJIPANGA hawa. Wapiga kura ni wale wapo upande wa watawala pale TFF, ushahidi ni pale walipobadilisha katiba kwa e-mails! Wao wanaita 'conference'.
wanataka Nyamalani awe pale amlinde Tenga...na mpango wa wao kwanza ni kuileta timu ya Taifa ya Nigeria ambayo ni mabingwa wa Afrika ili kufidia deni la NMB..chukua hiyo nyinginesimtaki yeyote ila afadhali kidogo nyamlani
Hii inanikumbusha maneno ya mwalimu anaekimbilia kwenda ikulu lazima mjiulize anakimbilia nini kuna biashara pale?
ukiona matusi ujue ni mashabiki wa Simba wakiongozwa na Ndetichia
hawawezi kukoment mpaka watukane kwanza
limeniuzi kweli kaka tunaongelea mpira linaleta mitusi yani mitusi mda wote
mkuu ndomyana sorry kama nitakuwa nimeleta suala la ukabila,wewe ni mnyakyusa?
hata mkuu njowepo pia mnyakyusa?