FIFA kuja na mabadiliko kadhaa kwenye soka ikiwemo kupunguza muda mpaka dakika 60

Hawa kweli mataaila hizo tisini watu tunaona hazitoshi wao wanataka wapunguze.....mxiiiiiiiiiiiiiiw
 
wewe kweli akili tatu dah...nimecheka sana leo
 
ama kweli we akili tatu ntawafkishia fifa maoni yako mkuu
 
Hawa jamaa wanataka kutupunguzia ladha ya soka. Sasa dk 60 kweli nikalipie hela yangu ya kiingilio pale Taifa ? Sasa nitakuwa nimepata ladha gani kwa hizo dk 60?

Bora wangeongeza dk 120 ili muda uwe wa kutosha jamani.

Mawazo yako na yangu ni sawia kabisaa. Waongeze zifike 120, na sio ku2punguzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…